Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Ndio Zetu by TMK Wanaume Family Lyrics

Genre: rap | Year: 2004

[Intro: Saigon ]
U-u-Ah-Ah-Ah-Ah...
Oi' Oi'
Kali 'Nye
Kali 'Nye
(Unh-huh)
T-M-K...

[Verse 1: Chege & Said Fella]
Masela wangu sema Beua 'Cheua
Beua' Cheua
Beua' (Eyo Cheua)
Eyo chuma ulete
Wanao tufanye makeke
Kukaa ghetto ndo zetu
Cheua' Beua! ndo kampuni yetu
Nataka T-Shirt, Fella ( Ah, Hapa Cheua' Beua!)
Twenzetu basi Kilwa tukafanye show (Kataa...!)
"Mwanamume ndio zetu"
Eyo Chegge... Eeh!
Twende jino kwa jino mwanangu
Usiandikie mate wakati kuna wino
Usiombe wewe uishi maisha tunayoishi sisi
Tunaishi maisha kiasi, ucheshi na uvumilivu wa dhiki
Baba kauzu
Mama ng'onda
Kiuzushi uzushi' bado tunalisonga...
[Verse 2: KR Mulla]
Hatufatili mambo ya wenzetu, tuna mind mambo yetu
Na' Kutimia kukamua kwеtu
Ndo mwake sana....
Yaliyo jiri, yamejiri
Ya umoja hupati mbili
Wanafiki mtasubiri, wanyonge wotе mtatia akili ( Ndio ndio )
He! He!
Bure' mjini shule
Kusantili za henga, ridhiki kujaa bure
Hey! Nipo ndani ya simple' sneaker za T.M.K.!...(Temeke)
Cheua 'Beua ndo kampuni mama
Tunataka kazi sisi' hatutaki uhasama (Sana sana)
Nje-nje-re, nje!
Mkubwa' mungu
Ha Ha Ha!

"Hapa Kazi Tu, Kazi Tu"

[Verse 3: Mh Temba]
Hatuongei sana 'Khalfan
Tuna mind tu kuchana
Mungu katupa uwezo' hakuna muda wa mchezo
Hapa Kazi Tu, Kazi Tu, Kazi Tu
No pain, No gain
Toka jasho upate kula
Meneja kasema "asiyefanya kazi na asile"
Makamuzi ni yale yale'
Pusha kuwa na machale
T.M.K.' Temeke ndo kwetu, ndo zetu
Usingizi hauji usiku wana ning'ata kunguni, na panya wanasumbua darini mpaka uvunguni
Ndio maana hatunenepi' embu cheki...
Makauzu, Ng'onda ndo sisi
Full Battle' Kazini
Zaidi ni kuwa makini (Ha Ha)
Tulinyanyasika maskini,sijui kisa nini lakini
Usawa' hata Baba anajua kama unakaba (Uh-Huh)
Vumilia' vumilia, mwanangu utakuja kufurahia
Mateso yakizidi ujue neema inakaribia
Uh..
[Chorus: Juma Nature]
Ndio zetu, T.M.K. ndio zetu Uu...
Ndio zetu, Wanaume ndio zetu
Ndio zetu, Wazee wa Kazi ndio zetu Uu...
Ndio Zetu, Wanaume ndio zetu
(Hapa Kazi Tu, Kazi Tu)

[Verse 4:]
Eyo niambie' niaje?
Unaonaje' umeamka je?
Wash'kaji kitaani wamesizi wako fit fiti fit fiti fitikali fiti
Wanapiga skendo..."Alisha data!"
Wanapanga mikakati ya mshiko 'jinsi ya kuzikamata (Woo!)
Uki wacheki wame pose' wamejikunyata
Wengine wako fasta, wanawaza kama mutima Raka
Ngoja niwasalimie, kiduchu...
Ki mtindo Hu,Ha!
Wanaume! (Eeh!)
Na pia mazee...
Kama vipi machizi nami' mnitembezee...

[Verse 5:]
Jikunje mzima mzima
Ainuke nje ndani, nje ndani
Ibonyee' kitu kweli (Eh Bwana Eh!)
Mnuso nusu ummeze mchepuko
Vingi vikorombwezo
Vitamin C, Cheche, Kibua, Nazi, Suti (Uhakika, uhakika)
Jamvi ki ufupi' Ndo zetu
Kivyetu vyetu, kimpango wetu (Ndio)
Ki adili si tupo, tunakomaa na dhiki
Mpaka tupate ridhiki (Ndio)
Tuna kula kwa jasho letu' Ndo zetu
Stage mtu mbili' kumi na mbili mpaka Lukwili
Utatia akili!
Kuganga njaa' kudunduliza ndo zetu (Ndio)
[Verse 6: Dollo]
Tukikaa Bar' tunakunywa...(Tunagida!)
Tukiishiwa tunaona Hee...!
Kumbe mambo ndivyo inavyokuwa (Yameharibika!)
Tuko radhi ile mia na hamsini iliyo baki asubuhi si bora tununue mandazi na vitumbua ( Asubuhi aaubuhi asubuhi hiyo...!)
Ndio zetu'
Tukiwa tunazo tunatumia
Aya' kama hatuna, tunatulia majumbani kwetu
Ndo zetu!

[Chorus: Juma Nature]
Ndio zetu, T.M.K. ndio zetu Uu...
Ndio zetu, Wanaume ndio zetu
Ndio zetu, Wazee wa Kazi ndio zetu Uu...
Ndio Zetu, Wanaume ndio zetu
(Hapa Kazi Tu, Kazi Tu)

[Verse 7:]
Hizi ndo zetu' Mwana kwetu
Jiko, Mwiko
Kutwa kucha' mizunguko (Tunahangaika!)
Hapo Jua letu, Yaani Mvua yetu
Tunakaza nyuzi' watu wa kazi
Shuruba' Hatuna makuzi ( Enh..)
Tunapoteza mbaya
Vikosi' Wafuasi, mababu (Wazee..) wote wanagwaya (mnh..)
We unafikiri sisi watu wa mchezo mchezo? (Kazi)
Mwanaume ndo nguzo, hiyo inaeleweka...(Mnh..)
Tunaomba uhai tu, tuzidi kuwajibika
Maringo kwetu hakuna,wala kuchuna
Hi! Hi! Tu kila sehemu, Mwana kwetu
Hizi Ndo zetu! ( Enh...)

[Verse 8:]
Ndo Zetu, haya kama kawa
Mgonjwa hakatai dawa,(Eeh...)'akikataa ujue kapona (Sawa sawa)
We una matarajio ya kufa (Heart failing)
"Baba ka-"
Maendeleo ndo yenye mstari wa mbele (Fainali,Uzeeni)
Tupo tofauti na mtu yeyote
Hapa tulipo na tunakita popote
Iwe Nanyamba, Shimo la Mungu au Tandahimba (Kote huko tunavuruga)
Popote tu tunaimba ("Tunatafuta beat-")
Ili mradi kuwe na Monita Speaker 'zinakita (Ndio ndo mzuka)
...
Mkulima hachagui jembe, akichagua ujue ni mzembe!

[Chorus: Juma Nature]
Ndio zetu, T.M.K. ndio zetu Uu...
Ndio zetu, Wanaume ndio zetu
Ndio zetu, Wazee wa Kazi ndio zetu Uu...
Ndio Zetu, Wanaume ndio zetu
(Hapa Kazi Tu, Kazi Tu)

(Instrumental...)