Wote by Royazdad Lyrics
Yeaah
I don’t know if you know how much I love you
I don’t know if you know how i feel when I’m with You
Let me use this chance to explain my self how i feel
And this is how I feel ...
Natokwa goosebumps nikiwa nawe,mwili wote
Oooh babe/
Limenizidia utamu, penzi la we, nitaonga vyote
Ili niwetu nawe/
My heart is beating fast , najawa wasiwasi,uyeeee
My heart is beating fast , najawa wasiwasi
Ukiwa mbali nami
Acha niwe zoba,waseme nimelogwa,nimeoza x 2
Kwauzuri kama WOTE
Maufundi kama YOTE
Mi wivu kama WOTE
Kwauzuri kama WOTE
Maufundi kama YOTE
Mi wivu kama WOTE
Unavyodamshi damshi damshi
Kwa penzi mpaka wanifanya mi nakosa,( MATAMSHII)
Let me love love u love u hadi wazushi
Wanaochonga mbovu kwetu
(Watoke nduki yeeeeeee )
We ndio asari wa moyo tunda la roho
Mapenzi yangu kwako
Hayana mfano x 2
Tabasamu kama Eliza Michael
I will be your ma J
We ni chumvi muhimu kwenye jiko
I’m happy to be your men
Nawe ndio unafanya ni deke
Sitoweza imiri upwe
Insurance ya penzi ni wewe
Nawe ndio unafanya ni deke
Sitoweza imiri upwe
Insurance ya penzi ni wewe
Girl I love you