Stress kibao by Nico Dee Lyrics
STRESS KIBAO LYRICS BY NICO DEE
Stress kibao lyrics by Nico Dee
Nina mastress kibao ×3
Nico Dee
Makambo Family
Verse 1
Ilikuwa asubuhi kitu saa kumi na moja, aahi
Nico Dee nilitokaga home kitu saa kumi na moja,aahi
Nilitokaga home, bila hata bibi kuknow
Kuenda tao, kwenda kutafuta job
Nilikuwa nimesota sikukuwa na doh
Hata shilingi ndani ya mfuko
Jioni ikafika bila mi kupata janta, Mwana wa Makambo
Mi ni mjaka, meneja mkikuyu ama ye ni mkamba
Tribalism pamoja na racism,nepotism in my nationalism
Ooh mi ntadie, siku moja ntadie, hata kabla siku zangu hazijafika
Oooh ×2
CHORUS
Oooh nina mastress kibao
Kule downtown nafuatwa na karao
Sina hata mbao, ya kunitoa tao
Nao makarao wananidaisha thao
X2
Verse 2
Nafika home saa tano ikikaribia
Watoto wana njaa wamekaa wametulia
Bi mjamzito ametulia analia
Amechoka na anataka kutoka
Arudi kwao kule ye alikotoka
Anafoka mpaka mi naogopa eti mi namtesa kwa sababu sina pesa, eehhi
Shida shida shida za dunia
Zimenishinda mimi kuvumilia, aah
Nimweke nani mimi moyoni
Nimthamini nani mi maishani
Niliodhani marafiki wanafiki
Walijifanya fiti kumbe wasaliti
Mawazo chungu nzima mi akilini
Mingi mingi kama milioni sabini hihihihi
CHORUS
Outro
Marafiki wanafiki
Walijifanya fiti kumbe wasaliti
Mawazo chungu nzima mi akilini
Mingi mingi kama milioni sabini
Hihihihi