Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Kutwanga Kwa Nyundo by Ken Demacra Lyrics

Genre: pop | Year: 2020

Ken Demacra
Kutwanga Kwa Nyundo lyrics
Intro Dollar boy Oyeeeh

Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga Ile kokoto×2

Maisha haijakuwa sawa
Tena nami Sina power
Hakuna maziwa sour
Kuoga Ni kwa zima

Nafanya kazi na hakuna malipo
Eeeeeh hakuna malipo
Nisimame kwa maji Kama popo
Eeeeeh Kama popo
Wenye meno ndo wanauma
Eeeeeh ndo wanauma
Nijifanye Kama hakuna shida
Eeeeeh hakuna shida
Kupita mi Namba one
Kudensi mi Namba one
Kuchati mi Namba one
Kupika mi Namba one

Mimi nashindwa na Dunia ya leo
Eeeeh Dunia ya leo
Kuowa Bibi wengine ndo wanakunyanganya
Eeeeeh ndo wanakunyanganya
Sijapenda kupoteza Wakati
Eeeeeh kupoteza Wakati
Uongo mingu Ni ya Nini
Eeeeeh Ni ya Nini

Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga Ile kokoto×2

Karibu nyumbani
Karibu kwa Kenny
Usishangae kwa Nini
Usishangae kwa Nini
Nikupe stool juu hakuna kiti

Do you mind ugali
Nikupe ugali
Nilete ugali
Nikupe ugali juu hakuna supagheti
Usani yangu nilianza
Hata Sikujua nitaweza
Sema youtube kuupload vida
Fb kupost vida
Wengine followers ndio wanakucheka
Eeeeeh ndio wanakucheka

Kwa maana Mola sijakufa moyo
Inakwanga Kama Mpira Tia bidii utafunga goli

Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga kwa nyundo
Kutwanga Ile kokoto×2

Aaaaah Adoyo Adoyo Marach