Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Nina Haja Nawe by Kelvin Ntenga Lyrics

Genre: rap | Year: 2020

Intro
(Linda)
Nina haja nawe
Sina mwingine wa kuniweka huru
Nina kiu nawe Sina mwingine wa kunitosheleza

Verse
(Kelvin Ntenga)

Nuru yangu wokovu wangu nimwogope nani
Ngome ya uzima wangu nimhofu nani
Niongoze nisiweze kwama eh Mungu wangu
Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu
Nienende kwa roho aishie ndani yangu
Niyashinde ya mwili
Hisia na tamaa zangu
Nakuhitaji uisikie sauti ya kilio changu
Mateso yanapo zidi
Huzuni hofu vinaongeza hii baridi
Ninahaja nawe sihitaji niwe mkaidi
Nikiwa kifungoni sina mwingine wa kuniweka huru
Taa yangu gizani nakuhitaji unipe nuru
Miungu mingine sina sitokufuru
Nakuhitaji
Imani yangu kwako inanitembeza juu ya maji
Karibu ndani yangu
Nifanyie divai mpya ndani ya chombo changu
Unaokoa si kwa matendo bali imani ndani ya Kristo Yesu
Sistahili ila ni kwa neema na pendo lako
Nitautafuta uso wako,daima nikae kwenye uwepo wako
Niwe mtumishi wako
Nifunike kwa mbawa zako
Mawinguni Kama tai
With you God the Most High
Abba wa rehema
Kesha sema Ni Neema noow
I'm Preaching grace like apostle paul
Mpaka shetani aombe po
Niko poa nikiruka vikwazo
I'm Luka with the gospel
Gat the gospel to all the people in the streets
Nilipo upo ulipo nipo ndani yangu ulipo
Yesu kristo mwana wa Adam bwana wa sabato
Nina kiu nawe
Na neno lako ni maji ya uzima
Natiririka mwanzo mwisho umenifanya mto
Mfano Stephano
Jina lako nitalitaja hata nipigwe mawe Yahweh
Peke yangu siwezi nina haja nawe
Chorus(Choir)
Nina haja nawe
Sina mwingine wa kuniweka huru
Nina kiu nawe Sina mwingine wa kunitosheleza
Nina haja nawe
Sina mwingine wa kuniweka huru
Nina kiu nawe Sina mwingine wa kunitosheleza

Verse 2(Choir)

Nijaze nijaze
Ijaze roho yako
Nijaze nijaze
Nijaze roho wako
Nijaze nijaze
Ijaze roho yako
Nijaze nijaze
Nijaze roho wako

Chorus(Choir)

Nina haja nawe
Sina mwingine wa kuniweka huru
Nina kiu nawe Sina mwingine wa kunitosheleza