Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

NANI NILIMKOSEA by ISON MISTARI Lyrics

Genre: rap | Year: 2017

INTRO:
Macho bila ya moyo
Hauwezi kuona Unacho hisi /

Hiyo ni mbaya kwa wenye choyo ambao wametekwa na ibilisi /


VESS 1 :

Nilitamani kua m binafsi
Nikatekwa Na ujamaa /
Siku smile
Hata nikiwa happy
Ili wangapi wasijue nnafrah /

Wanasafisha chozi kwa
Maji /
Hawa wazugaji /
Watakupa usichotaka
Zaidi ya Unacho kihitaji /
Wanacho amini hakipo sawa
Kilicho sawa hakiaminiki /
Unaeza kua na Mbawa na
Ukabebwa kama self stick /

Skutamani ustar
Nilijikuta nisha kua maarufu /
Skumuhitaji lufufu
Wengi walitamani huu utukufu /
Sasa Nani anivike taji
Upinzani upoteze nguvu /
Kwa changamoto za hii Sanaa ndio niache Kama mzee yussufu /

Eti atakae nitoa nimngoje
Hadi atoke /
Nae nisawa na kizibo cha soda tu
Hadi kwa kumzibua ndio
Afoke /

Alie tamani Uwepo wangu
Anafrahia kunipoteza /
Adui anagwaya
Anahisi noma kuni pongeza /
Anaujutia wakati
Wana alie shindwa
Kujiongeza /
JE huyu kinda " MAMA YUKOWAPI ??"
Mwewe ata m beba ku mtembeza /
Ninapo itema Hii baridi
Wanajikunja kama korosho /
Walisha mponda
Hata Fareed (FID Q)
Eti ni MC gani michosho /
Sishangai kwa hizi chuki
Wanazoleta Kama mkopo /
Zita waacha wabaki juu
Wakiwa vichwa chini tu
Kama popo /

Ningezaliwa juu ya barafu
Mngeniweka kwenye freezer /
Ili niendelee kua mgumu
Hata nikija Kama squizer /
Misjaishi kwenye povarty
KIASI cha kupitiliza /
Au kujisifia kasi
Nikamsahau anae nikimbiza /

Nina history ndefu Kama
Misry /
Ajabu maneno yangu
Karanga MC s yata wakohoza Kama dhikri /

Muogope huyu farasi
Ambae anapitwa hadi na mjusi /
Au jifunike gubi gubi
Kama mwana alie chokoza
Nyuki /
Hakika povu haliwezi
Safisha chuki /
Dunia imejaa makovu
Na watu ndio kaumu luti /
Nisinge pewa upendo
Ningenyimwa hata na imani /
Siwezi kua yesu
HATA nikimtukana shetani /


KIBWAGIZO :

Tunajifuza hisia
Baada ya kuanza kutamani /
Leo kila mpenzi
Analia wanauliza m baya ni nani / x2

___________________________
CHORASS
___________________________


VESS 2 :

Wamepandikiza ubinafsi
Na gere ndani ya wabongo /
Ili tusiwe na ushemeji
Wakweli kama mani fongo / (zam ya nani leo )
Na bado wakanibania mchongo /
Eti wanigeuze GOMA
Kama lile jimbo la KONGO /

Nikifa stoacha biff
Nita waacha wenye biff zao /
Nita waachia safina ya ujumbe mgawane mbao /
Kile mlicho kumbuka nyinyi
Sicho nilicho kisahau /
Na msihofie kushuka
Mkiungama kwa Madhabahu /

Maisha ni ukuta
Hutovushwa na washika daw /
Wakikuchoka watakutupa
Kisha wataendazao /

Kwaio noma kuish redioni tu Kama tangazo la kifo /
Halafu niitwe chipukizi
Wakati tangu zamani nipo /
Ninapo amka hakika
Nilitoka katika kifo /
Mbona nalala na furah
Nahakuna masikitiko ? /

Nyi mlifaa mnipe sapot
Zaidi ya Chidi Benz chuma /
Niwe na speed zaidi ya BOLT kias cha kumkimbiza DUMA /

Wadau wametugeuza mtaji
Kama bar mad na glas ya bear /
Wanasiasa hawa tuhitaji
Zaidi ya wanapo hutubia /
Ndani ya joho la alhaji
Kuna mengi uliyo sikia /
Yupowapi incharge
Au yule anaechuna ukimsalimia ?

Wananiua kama goriati
Na daudi hatupwi jela /
Kisa nna ugojwa wa mtaji
Ambao hautibiki mwaisela /
Maana siishi kwa collabo tu
Kama cristian bella /
Wanashauri Eti nikapange foleni kwa Said fella ! /

Kisha wanifute kama
OMISETA ili "thabit" asizaliwe /
Mi huaga napiga hata asiehusika
Gizani nikitupa jiwe /

Sikuzaliwa mweusi
Ilinije nilete GERE /
Ni uawe Kama mwangosi
Au wafuasi wa kibwetere /

Hai make senc
Inauma hadi inaboa /
Kile wanacho hitaji wao
Ni zaidi ya Wanacho toa /
Mengi watakosoa
Wata kugeuza kaka poa /
Kisha wata kuahidi talaka
Na haupo katika ndoa /

KIBWAGIZO :

Tunapotea baada ya kupoteza imani /
Leo bubu anataka kuongea Na huyu alie mtusi zamani / x2


___________________________
CHORASS
___________________________


OUTRO :

TUNAISH kwa itikadi
Na ndio maana hatubadiliki /
Hatutafuti pesa
Tunakesha kutafuta Kiki /

Nani nilimkosea ??
Nikiuliza wanakaa kimya /
Kinafiki wananichekea
Wakiwa meno nnje tu
Kama kima /

Wananiingelea mengi
Kiundani hawanijui /
Kwa mbele kama kondoo
Nyuma wana makucha
Kama chui /

Hao ndio marafiki wa Leo
Nani nili mkosea ???

DAH !

Mtanikumbuka sana
Siku nikiondoka
Kwenye mgongo WA dunia
Nahata nikifaleo
Hakuna hata mmoja atakae bakia

Yah

Haya ni maishatu
NAITWA ISON
DJ WALID


CHEUSIDAWA


The end