Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

NAKUCHANA by ISON MISTARI Lyrics

Genre: rap | Year: 2017

VASE 1) 👇🏿

Walipo nimulika Kama tochi
Sikubaki gizani /
Siku hitaji haya majaribu yawe chaki
Kichore ubaoni /
Nilipo kosa jibu alie jibu
Alikua ndotoni /
Hakutaja usafa wa nasibu bali Ison /

Kumjua asie nijua ni hatua /
Na anae nivisha taji atafurahi
Nikivua /
Kijoti atastua /
Mangapi ataibua /
Kua Kama ngosha haipo sance
Labda inaeza nichafua ? /

Mbona chali ali mjenga zacha /
Sikujali kuwaskia mapacha /
Ni umbali wahatua ngapi
Stazami nilipo sasa /
Kama adui sio milango
Naanzaje kumtia vitasa /
Na mpango SIO matumizi
Angekua wapi mrisho ngasa ??/

CHORUSS :
Nimekuchana ili ujifunze my homies
We need to change change change x2


VASE 2) 👇🏿

Na usimshangae mwenye hekima
Kumtusi asie na busara /
Na mchamba wima alie vutwa kama
Sigara /
Giza totoro na mchongo kama
Seremala /
Hivi africa godoro mbona wa Africa
Tumelala ?? /

Nahii ndio dunia ambayo
Wengi wanachangia vilio /
Utashushwa Kama zakayo
Kisha uka hadithie wenzio /

Bila ya promo wanastuka
Nisha kua professional /
Sahau ya nyuma udundishwe
Kama tenis ball /
Na maumivu yangekua na utam
Ningechagua kuumia /
Ninge vaa vitanzi kisha nikalipia
Fidia /
Ninge kunywa sumu
Nikaoga na tindikali
Kwenye tobo la sindano
Ningepenya na ngamia /

Siuzi kula nauza njaa
Mwenye njaa anauza sura /
Mimi ni sura iliyo chakaa
Nikisaka chapaa ya kula /

Dunia ya wengi ina machache
Yakukariri /
Utaumbuka mchana kweupe
Ukiamini unatunza siri /
Wanamaarifa tu sio akili /
Ison ni mwingi wa taarifa
Na ndio habari kamili /

Wana rembua na vidole juu /
Wanataka nibanepua nami
Sina flue /
Waambie mimi sio paka rappar
Panya wajitawale tu /
Na hamuezi kutimbahapa
RAPPARs what you going to do ?/
Macho yana laumu chozi
Litoke likate kiw /
Mistari michafu hadi chafpozi
Znakwenda mbio /


CHORUSS :
Nimekuchana ili ujifunze my homies
We need to change change change x2


VASE 3) 👇🏿
Maneno maneno skuiz sio deal/ Pesa ndo imekuwa ilekitu deal/ Mtaan kimenuka thuglife yoo/ Mbaka mabitoz wanaosha vyoo/ Sister kipanga,kapanga madanga/Bitozi mangozi,mapozi shazi ndio maisha ya skuiz hey/ Wanasema eti mpira haumalizi hamu/Hiphop ukauzu no tabasaba/ Yukosober na bado anasnif/ acha izo janja kuwa real nigga chifu/ Kichange jipange sakachambichambi/ bitozi bila pesa utanyea kambi/huu msuli mkubwa usijaribu Bambi/ wanakaza kwny ngoma ,wanakazwa kwenye..../ I hate that nigga/mapozi wanaiga,nawaita mambwiga/ hawana real love wanapretend hoo/ili ukiwa na chapaa mkaspend raaah/kaa mbali nami siwapendi haa/ staki kwenda deep kwny siri zao/ wengine wanauza mbaka Dada zao/ wengine wanatapel mbaka baba zao/ hayo hayanihusu ni maisha yao/ anawaona mungu wao

CHORUSS :
Nimekuchana ili ujifunze my homies
We need to change change change x2