Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Chuma ya Doshi by Eque x Dark Q Family Lyrics

Genre: pop | Year: 2020

[Intro]
EQ!
Shifa on the...!

[Verse 1]
Mimi ni empress queen wa machuma Napenda chuma na stingo za nyuma
Lipua thutha chapa stokes bila huruma
Hii center inataka tu huduma
Taste yangu huwa chuma ya doshi
Izame ndani ni steam itoe moshi
Chuma nyeusi imeivia pongi
Fare anatuma ikitoka Migori
Ama mluhya kutoka Maragoli
Ukifika karibu hakuna hodi

[Hook]
'Mum, chuma ya Doshi ni nini?'
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi

Niaje empress am here kukuimpress Nilipata call yako concerning the Doshi interest 18 and over, hivo sitaogopa Nitakuletea mwenyewe nikusetie kwa sofa Na umebeba tako walete na sio vako Mi nawe sako kwa bako hadi tumwage majasho ah, Swali ni je utaweza kuihandle?
Hii chuma sio rahisi kama kukopa bundles Ukifinywa vizuri hutataka hizo za kando
Mi fundi mmoja mdeadly
Confirm na Njeri wa Dago aah
(Confirm na Njeri wa Dago aah)

[Hook]
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya doshi
(Mum nanii alisema ataniletea
Chuma ya Doshi)

[Verse 3]
Hio uzito naifeel kama density
Beba bucket mimi ni kama mfereji
We nikule kama kuku ya kienyeji
Hii paka itambue we mwenyeji
Kujileta kwangu itakuwa daily
Nina nare nadai chali peddy
Anapenda lamba keki after ameseti Nikichoka tunafunga mguu na neti
Choma beti later iwe kesi
Chuma ya doshi na ikuwe kama ya mdosi
(Na ukikuja leo kazi ni...)
[Hook]
Chuma, chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi
Chuma ya Doshi
Mi nataka hiyo chuma ya doshi Chuma ya Doshi
Chuma ya doshi
(Mum nanii alisema ataniletea
Chuma ya Doshi)