NATEMBEA NAE by Ellisha james Lyrics
Intro
Eeeh
Eeooohheeee
Eeeeeeeh iyeee iyeee
Hook
Mimi ninae
Wewe unae
Wasi wasi sina ninatembea nae ×2
Ninatembea nae
Ninatembea naee
Wasi wasi sina ninatembea naee
Verse
Najikuta nna Furaha like all the time
Zinanifanya shujaa nasaha za Mom
Sina jazba najidai nafanya yanguu
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Matatizo kila siku gadhabu kibao
Wasinipigie mbiu kwa kauli zao
On the way up nobody stop me now
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Ninapokuwa misele town
Hata nikiamua niende club
Usidhani Niko peke yangu
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Eeh Mama usilie
Sipendi scene ya Jana ijirudie
Nyumba ya ndoto wacha nikutafutie
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Hata nikirudi home night
Jua ananilinda Almight
Hofu isikupe homa
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Ulilea mwana time yakucelebrate
Twende kanisani mami tukaongeze faith
Kuwa na Amani kwako naidedicate
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Hospitali wanaugua pesa
Matajiri wanaugua pressure
Ndio maana hata ninapokua cashed out
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Tangu Kurwa na Doto tulipozaliwa
Chumba cha joto tukahifadhiwa
Haikuwa easy, bila Tumaini
Ni kwaajili yake mpaka Leo tunaishi
Sifa,utukufu navirudisha sina ubishi
Kwani bila yeye nisengeweza kuwa Mimi
Na Bila Kasisi nisengeweza kuamini ee
Bila Injili ingekuwa vipi?
Toka udogo nimefunzwa kwa neno
Toka utoto nimekuzwa kwa upendo
Sina hofu kuyakuta malengo
Wasiwasi sina NINATEMBEA NA YESU...!
Hook (with Nurueli)
Natembea nae
Natembea nae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Mi nnae
We unae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Ninatembea nae
Ninatembea nae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Nnaye
We unayeee
Wasi wasi sina ninatembea naeeeee....
Eeeh
Eeooohheeee
Eeeeeeeh iyeee iyeee
Hook
Mimi ninae
Wewe unae
Wasi wasi sina ninatembea nae ×2
Ninatembea nae
Ninatembea naee
Wasi wasi sina ninatembea naee
Verse
Najikuta nna Furaha like all the time
Zinanifanya shujaa nasaha za Mom
Sina jazba najidai nafanya yanguu
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Matatizo kila siku gadhabu kibao
Wasinipigie mbiu kwa kauli zao
On the way up nobody stop me now
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Ninapokuwa misele town
Hata nikiamua niende club
Usidhani Niko peke yangu
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Eeh Mama usilie
Sipendi scene ya Jana ijirudie
Nyumba ya ndoto wacha nikutafutie
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Hata nikirudi home night
Jua ananilinda Almight
Hofu isikupe homa
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Ulilea mwana time yakucelebrate
Twende kanisani mami tukaongeze faith
Kuwa na Amani kwako naidedicate
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Hospitali wanaugua pesa
Matajiri wanaugua pressure
Ndio maana hata ninapokua cashed out
(Wasi wasi sina ninatembea nae)
Tangu Kurwa na Doto tulipozaliwa
Chumba cha joto tukahifadhiwa
Haikuwa easy, bila Tumaini
Ni kwaajili yake mpaka Leo tunaishi
Sifa,utukufu navirudisha sina ubishi
Kwani bila yeye nisengeweza kuwa Mimi
Na Bila Kasisi nisengeweza kuamini ee
Bila Injili ingekuwa vipi?
Toka udogo nimefunzwa kwa neno
Toka utoto nimekuzwa kwa upendo
Sina hofu kuyakuta malengo
Wasiwasi sina NINATEMBEA NA YESU...!
Hook (with Nurueli)
Natembea nae
Natembea nae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Mi nnae
We unae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Ninatembea nae
Ninatembea nae
Wasi wasi sina ninatembea nae
Nnaye
We unayeee
Wasi wasi sina ninatembea naeeeee....