Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Baby Mama by Ellisha james Lyrics

Genre: rap | Year: 2020

Kumuona amenuna ni tsunami
Chumbani unyumba, ukiuliza akaguna ni soo
Sometimes kibunda ikibuma
Kichuna anaukunja,akiamama kukicha ni soo
She got me singing oyoyo oyoyo
Oyo yo yoooh *2

Verse
That's my baby mama
She is like full of drama
Nikimkosea dakika mbili tatu tuu nshaungama *2

She is my life man I can't live without her
Iko vile kidesign ananitourcher
Ile mida tuko fresh she is the finest I told you, maelezo yanajibeba ananitosha
Anafanya Maisha Kama movie so I move with her
Ananiweka juu ya mstari najirudisha
Nafanya Maisha kama movie so I move with her
Ananiweka juu ya mstari.....

Hook
Kumuona amenuna ni tsunami
Chumbani unyumba, ukiuliza akaguna ni soo
Sometimes kibunda ikibuma
Kichuna anaukunja,akiamama kukicha ni soo
She got me singing oyoyo oyoyo
Oyo yo yoooh *2