Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

SHUKRANI by EMMANAK Lyrics

Genre: misc | Year: 2015

SHUKRANI
HOOK
Mola wangu mimi ninakupenda
Ninkiri yakwamba nakupenda
Toka zamani umekuwa mlinzi
Hadi sasa wazidi kunilinda
CHORUS
Shukran mimi nakupa shukrani
Siwezimake it bila wewe ndo maana nakupa shukran
Siwezimove on bila wewe ndo maana nakupa shukran
(2 times)
Hapo zamani nilikuwa wa bangi
Hapo zamani nilikuwa wa pombe
Hapo zamani nilikuwa wa anasa
Hapo zamani nilikuwa wa wizi
Lakini mola ukanihurumia
Ukatuma mwana wako wa pekee
Ambaye kafia msalabani
Kwa ajili ya dhambi zangu
Akazikwa na jose arimathea
Siku ya tatu akashinda kifo
Ibilisi kabaki kushindwa vita
Na kudai eti kaonewa
Lakini malaika wakakujuzudu
Wakisema wewe ndio mola
Na mola sisi twakushukuru
Ya kwamba umetuhifadhi
CHORUS (2 times)
Sina budi bali kukuabudu
Sina budi bali kukutukuza
Sina budi bali kukuimbia
Sina budi bali kukuinamia
Maulana naomba unirehemu
Uwe name kwa hii safari
Bila wewe siwezi make it
Ndio maana ninakuhitaji
Kwa hii dunia ya unafiki,ulaghai mola uwe name
Na binadamu wote nawasihi yakwamba tumgeukie
Kwa kuheshimu waliokaribu nasi
Na kusaidia masikini wote
CHORUS(2 times)
Wakristo wote twendeni kanisani
Waisamu wote twendeni msikitini
Na wahindi wote twendeni hekaluni
Tukamsifu mola kwa pamoja tukisema
CHORUS (2 times)
HOOK (2 Times)