Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Bora Uhai by Dj Y-mas Lyrics

Genre: rap | Year: 2018

Anyone who is among the living has hope
Even a live dog is better off than a dead lion
That is our reading today
Coming from our book today
Of Ecclestiastes chapter 9 verse 4

Verse 1
Huyo manzi alikuacha (khai!)
Ukataka kujimada (woi!)
Buda hakuna haja (zi!)
Buda hiyo ni blanda

Yesu alikupenda
Hadi akakukufia (ahaa)
Na bado huyo boy anachochaaaa
Vile amekukufia

Hook
Hata kuwe na shida gani
Buda boss mi siworry (zi!)
Mi najua plan zake Mungu
Zitanipeleka mbali
Chorus (x4)
Bora
Uhai (uuh uuh)

Verse 2
We were all created in God's image (ya man!)
God’s beautiful image
So dont try compare yourself (no no!)
Hata na mtu mwingine

Coz kila mtu anaserve (nini?)
Purpose yake on earth
Kuna walе wamepata (ooh)
Na wengine bado wanasaka

Chorus (x4)
Bora
Uhai (uuh uuh)

Vеrse 3
Soma sana hii word
You are the light of the world
Hii word inabring joy
Hata kwa wale wamejam

If God is for us
Who can be against us
Na ka sikuji-introduce
Mi ni dj y-mas
Its better you try then you fail
Than failing even to try
To all my fears bye bye (bye bye!)
Nikona Jesus oh my

Kwa kila shida mi hupitia
Kuna nguvu God hunipatia
Na kama kukona form (aaah!)
Si God bado hunivutia

Hook
Hata kuwe na shida gani
Buda boss mi siworry (zi!)
Mi najua plan zake Mungu
Zitanipeleka mbali

Chorus (x4)
Bora
Uhai (uuh uuh)

Outro (x2)
Put God First
Everything else will follow
God akona wewe
Buda hauko solo