Song Page - Lyrify.me

Lyrify.me

Songa MBele by Bill-kill Lyrics

Genre: rap | Year: 2015

(Verse 1)

Watasema watashoka usiku na mchana//Sisi tuna songa bali// Bill-kill famili// sisi Tunauwa// wepeke wajuwa// bila mziki sili Leta deali tule//tule pesa wote// wakaka na Wadada wa dongo na wakubwa//tule pesa wote wakaka na wadada wa dongo na wakubwa.//

Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku
Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter

(Verse 2)
Tunatoka Mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//Tunatoka Mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu.// {​tume Ibiwa , tume tukanwa//"no one" atahitika //ndo mahana
Tunatoka bali//(tunakwenda bali)X2 Haa}​

Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku
Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter

(Verse 3)
Wewe nyuma//sisi mbele ume nouna,// iyo noma ume ona//Wewe nyuma//sisi mbele// iyo noma//
(ayo yote nimolaaaa nakujitumaa X2)

Refrain: songa mBele x3 mchana na usiku
Songa Belle x3 akuna kurudi. Répéter